#lfcTanzania

332 posts

Loading...
MSUMARI WA 4 UMEEKWA NA PACHA WANGU BOBY 😍 JAMAN SIO KWA RAHA HIZI. @liverpoolfc - This man. This celebration πŸ”₯ . #lfc #NYWA #lfcTanzania . You I'll never walk alone
Haya kumekucha kikosi cha mauwaji hicho. Liverpool Line up against FC Porto. You I'll never walk alone #lfc #NYWA #lfcTanzania
Loading...
LOVE can NEVER be achieved ALONE...but together we can take it to the WORLD.... ONE LOVE ONE TEAM ONE CLUB OUR LIVERPOOL FC . .HAPPY vals my #lfcfamily πŸŒ·β€βš˜β€πŸ˜‹πŸ˜‹ #herewegoagain πŸ’ͺ . .#liverpool #lfctz #lfctanzania #YNWA
MECHI LEO FC PORTO VS LIVERPOOL Muda-10:45pm uwanja-EstΓ‘dio do DragΓ£o, Mchezo wa kwanza hatua ya 16 bora klabu bingwa barani Ulaya Liverpool itamkosa kiungo wake wa kati Emre Can huku tukiona Nathaniel Clyne akirejea kutoka kwenye majeraha na kujumuishwa katika kikosi cha leo Leo ni leo Vuta shati vuta bukta ilimradi tuu usiukose mchezo huu YNWA #liverpoolfc #lfctanzania #ynwa #uefa #ucl #pl #epl #championsleague #premier
GOAAAAAAAAALLLLLLLLLL WEREWERREEREEEEE MASHAMBULIZI YANAENDELEA . f@liverpoolfc - 2️⃣0️⃣ goals in all competitions for @roberto_firmino this season πŸ’«πŸ‘Œ #NYWA #LFCTANZANIA #LFC
Here we go again liverpool fc ⚽️πŸ’ͺ . #matchday #COYR #lfcfamily #lfctanzania #lfctz #liverpoolfc #liverpool #YNWA
MECHI LEO Southampton vs Liverpool Muda:7:30pm Uwanja-ST MARRY'S #Liverpoolfc #ynwa #lfctanzania #ucl #uefa #premierleague
Here we go again liverpool fc ⚽️πŸ’ͺ . #matchday #COYR #lfcfamily #lfctanzania #lfctz #liverpoolfc #liverpool #YNWA
😊😊❀❀ .....with liver bird upon my chest πŸ’ͺπŸ’ͺ . #lfcfamily #lfctanzania #lfctz #YNWA
To the Glory of Allah/ God ..... perfection of humanity β€πŸ™..... Jumaa Mubarak ndugu zangu katika imani . .#liverpoolfc #lfctanzania #lfctz #LFCFamily #YNWA
Describe him in one word πŸ‘‡ . #liverpoolfc #LFCFamily #lfctanzania #Lfc #lfctz #mosalah22 #YNWA
#lfc #NYWA #lfcTanzania . You I'll never walk alone
Come on you red's.... #matchday πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ❀❀ .let's have it . ..#liverpoolfc #Lfc #lfctanzania #LFCFamily #lfctz #YNWA
MECHI LEO Liverpool vs Totenham Muda-7:30pm Uwanja- #ANFIELD Mechi ya kukata na shoka timu zote zikitaka kujikita nne bora huku Liverpool tukiwa na kumbukumbu ya kufungwa mabao 4 kwa 1 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza katika dimba la Wembley Je Liverpool kuibuka na alama 3 muhimu hii leo ?? Tukutanae mida ya wababe Anfield #Liverpoolfc #ynwa #premierleague #lfctanzania #liverpoolhabari #ucl #uefa #championsleague
@unju_4real you'll never walk alone ⚽️⚽️πŸ’ͺπŸ’ͺ #weareliverpool . #lfc #lfctanzania #liverpoolfc #YNWA
Jumaa kareem ndugu zangu katika imani β€πŸ™πŸ•‹πŸ•Œ . .#liverpoolfc #lfctz #lfctanzania #LFCFamily #YNWA
Ooh Arsenal πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tag em pls... kwa staili hii ya Arsenal Edo kumwembe anakwambia labda aubemeyang acheze nafasi tatu uwanjani........ beki wa kushoto, kipa, na mshambuliaji πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜ƒ. #liverpoolfc #lfctz #lfctanzania #YNWA
Disaster last night πŸ˜’πŸ”΄let's change Our style of play.......... when we play small teams Dah. Liverpool inatatizo gani...? Huwezi kumfunga anaeongoza league alafu wewe ukafungwa na anashika mkia kwenye league . #liverbirduponmychest #liverpoolfc #lfctanzania #lfctz #Lfc #liverpool #LFCFamily #YNWA
Here we go again πŸ”΄πŸ”΄πŸ‘ŠπŸ’ͺ @liverpoolfc #YNWA . #matchday #lfc #liverpoolfc #lfctz #lfctanzania #LFCFamily #lfcglobalfamily
Jezi team zote available original kabisa Nicheck 0715806898 #YNWA . .@dawoodjumaah thanks much for you support πŸ™πŸ€ . #liverpoolfc #lfc #lfctanzania #lfctz #liverbirduponmychest
ALEXIS SANCHEZ Liverpool wapo tayari kuingia katika vita ya kuwania sahihi ya mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez 30 Sanchez anawaniwa na klabu kadhaa nchini Uingereza zikiwemo klabu za mji wa Manchester (City na United) #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #premierleague #uefa #ucl
MECHI LEO Liverpool vs Manchester City Uwanja:ANFIELD muda-7:00pm Je Liverpool kuvunja mwiko ambao timu nyingine zimeshindwa kuvunja mwiko huo?? Tukutane katika usiku wa kibabe #liverpoolhabari #championsleague #pl4 #epl #premierleague #uefa #epl #cl #ucl #lfctanzania
ALBERTO MORENO Arejea rasmi mazoezini hii leo #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #premierleague
NABY KEITA Inasemekana ya kuwa ongezo la €20m hii Januari katika dirisha hili dogo la usajili ndilo litakalofanya RB Leipzig kumuachia kiungo huyo kutua Liverpool badala ya Julai katika dirisha kubwa la usajili Liverpool imekua ikihaha katika kutaka kumtafuta mbadala wa Philliphe Coutinho na inasemekana raia huyo wa Guinea Naby Keita ndiyo mbadala wa kiungo huyo aliyetimkia Barcelona #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #premierleague
ROBERTO FIRMINO Liverpool wapo katika harakati za kutaka kumsahinisha mkataba mpya mshambuliaji wake wa kati na timu ya taifa ya Brazil Roberto Firmino Mkataba ambao utamfanya mshambuliaji huyo kuitumikia Liverpool maisha yake yote. Nini maoni yako juu ya ili?? #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #premierleague #cl #ucl #uefa #pl #epl
NATHANIEL CLYNE Kuna baadhi ya taarifa zinasambaa ya kuwa beki wa kulia wa Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza Nathaniel Clyne anahusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya (kokeini) ndiyo maana klabu ya Liverpool mara nyingi imekuwa haimzungumzi muda ambao beki huyo atarejea katika klabu ya Liverpool. Pia inasemekana ya kuwa Liverpool wamemtimua mchezaji huyo ndani ya kikosi cha Liverpool na inawezekana hatokuja ichezea tena Liverpool siku za usoni. Ingawa hakuna taarifa rasmi juu sakata ili lakini yabidi kuwajuza ili tujue yanayojiri juu ya klabu yetu hii pendwa. Kaa nami kwa taarifa kamili juu ya sakata ili. #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #uefa #pl #premierleague
NATHANIEL CLYNE Kuna baadhi ya taarifa zinasambaa ya kuwa beki wa kulia wa Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza Nathaniel Clyne anahusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya (kokeini) ndiyo maana klabu ya Liverpool mara nyingi imekuwa haimzungumzi muda ambao beki huyo atarejea katika klabu ya Liverpool. Pia inasemekana ya kuwa Liverpool wamemtimua mchezaji huyo ndani ya kikosi cha Liverpool na inawezekana hatokuja ichezea tena Liverpool siku za usoni. Ingawa hakuna taarifa rasmi juu sakata ili lakini yabidi kuwajuza ili tujue yanayojiri juu ya klabu yetu hii pendwa. Kaa nami kwa taarifa kamili juu ya sakata ili. #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #uefa #pl #premierleague
Kuna mtu kaibiwa??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ #liverpoolhabari #ucl #pl #epl #premierleague #championsleague #uefa #lfctanzania #lfc #Liverpool #ynwa
MECHI LEO Liverpool vs Everton Uwanja -ANFIELD Muda -10:55pm FA cup #liverpoolhabari #ynwa #championsleague #premierleague #epl #Everton #lfctanzania
RIYAD MAHREZ Liverpool wamewasiliana na klabu ya Leicester City juu ya mshambuliaji wao machachari wa timu iyo Ryad Mahrez Klabu iyo inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza inahitaji kitita cha €50m ili kuweza kumuuza mchezaji huyo. Nini maoni yako juu ya ili???? #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #ynwa #premierleague #championsleague #epl #pl #uefa #cl #ucl
THOMAS LEMAR Inasemekana ya kuwa kiungo wa kati wa As Monaco na timu ya taifa ya Ufaransa Thomas Lemar ameshafanya makubaliano na klabu ya Liverpool na yupo teyari kujiunga na majogoo wa ANFIELD katika dirisha ili la usajili. Makubaliano ya ada baina ya Liverpool na klabu iyo ndo yatakamilisha dili ili Pia inasemekana As Monaco wanahitaji ada ya €90m tuu ili kuweza kumuachia kiungo huyo. #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #premierleague #championsleague #cl #epl #uefa #ucl #pl
PHILLIPHE COUTINHO Liverpool itahitaji zaidi ya Β£130m ili iweze kumuachia kiungo huyo kwenda Barcelona Iyo ni ada ya awali Liverpool inayohitaji #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #premierleague #ucl #cl #pl #epl
PHILLIPHE COUTINHO Inasemekana ya kuwa Liverpool wapo teyari kufanya mazungumzo na klabu ya Barcelona kuhusu kiungo wake wa kati wa timu iyo Philliphe Coutinho Liverpool wapo tayari kufanya makubaliano ya kibiashara na klabu iyo ya nchini Uhispania lakini tuu ni pale watakapokubaliana kiungo huyo kusalia japo kwa msimu huu 2017/18 Kiungo huyo mara kadhaa amekua akihusishwa kujiunga na klabu iyo tangu dirisha kubwa la usajili lilipita Baadhi ya waandishi mbalimbali katika mji wa Liverpool wameripoti ya kuwa wawakilishi wa mchezaji huyo wamekua wakiiomba Liverpool kumruhusu mteja wao huyo kutimkia katika klabu iyo ya Uhispania Je Philliphe Coutinho kusalia Liverpool japo kwa msimu huu 2017/18???? #liverpoolhabari nitazidi kuwajuza #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #pl #epl #ynwa #cl #championsleague #premierleague #uefa
Je Philliphe Coutinho kuondoka Liverpool katika dirisha hili dogo la usajili???? Mengi yanakuja na pia mashabiki wa Liverpool tujiandae kisaikolojia. #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #premierleague #cl #ucl #pl #epl
PHILLIPHE COUTINHO inasemekana ya kuwa Liverpool imepeleka ofa ya mkataba mpya kwa kiungo wake wa kati wa timu iyo Philliphe Coutinho Katika mkataba huo moja ya kipengele kikubwa ni kumfanya kiungo huyo kuwa Kapteni wa Liverpool kwa kipindi chote atakachoitumikia klabu iyo Inaonekana Liverpool hawapo kabisa tayari kumpoteza kiungo wake huyo anayehusishwa na kuihamia Klabu ya Barcelona ya nchini Uhispania . #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #premierleague #cl #ucl #pl #epl
Alama 3 muhimu hii leo dhidi ya moja ya timu ngumu msimu huu katika ligi kuu ya Uingereza zinaifanya Liverpool iweze kujikita katika nafasi nne za juu. You Will Never Walk Alone #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #premierleague
Presentation of @virgilvandijk ......today Anfield πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”΄πŸ”΄β€ happy indeed @liverpoolfc . .#liverpoolfc #LFCFamily #lfctanzania #anfieldroad #anfield #YNWA
Before Leicester match lets dance Eleko oyooo eleko oyooo eleko oyooo eleko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Follow πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ @missez_emrecan23 @missez_emrecan23 #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #cl #pl #premierleague #epl #ucl #uefa
TWENDE TUKASHINDE @liverpoolfc πŸ˜‚πŸ€£βš½οΈβ€β€ #elekooyo one of my mood πŸ‘ŠπŸ’ͺ . #happychild πŸ’― #matchday #liverpoolfc #LFCFamily #lfctanzania #lfctz #lfc #YNWA
MECHI LEO Liverpool vs Leicester City Muda- 6:00pm Uwanja -ANFIELD Je Liverpool itaendelea kung'ang'ania kubakia katika nafasi nne za juu hii leo kwa kuichapa Leicester City?? Tukutane iyo baadae katika jumamosi ya ligi kuu ya Uingereza #liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #uefa #pl #ucl #epl #cl #championsleague #premierleague
Kupitia facebook waweza follow @Liverpool_habari kwa habari motomoto pitia page yetu pendwa ya Liverpool Habari Link ipo kwa Biography YNWA #Liverpoolhabari #lfctanzania #championsleague #premierleague
Kupitia twitter waweza follow @Liverpool_habari kwa habari motomoto pitia page yetu pendwa ya Liverpool Habari YNWA #Liverpoolhabari #lfctanzania #championsleague #premierleague
Group whatsap kwa wale wanaohitaji cz we are all famil umoja ni nguvu utengano ni udhaifu Kukuunganisha tutumie ujumbe kwa Whatsap namba zifuatazo - 0656707428 or +255 712 419 777 #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #ynwa #premierleague #championsleague
RONALDO AMTAKA PHILLIPHE COUTINHO KUTOKUJIUNGA NA BARCELONA #Ronaldo "Najihisi mwenye furaha na mwenye maelewano mazuri na Real Madrid japokuwa nilishawahi kuishi Barcelona mwisho wa siku historia yangu ndani ya Barcelona iliishia kuwa mbaya, haina tofauti na ya Neymar akiwa katika klabu iyo "Barcelona siku zote wamekuwa hawawatendei vyema wabrazili ilishawahi kuwa kwa Romario, Ronaldinho, Neymar na mimi. #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #cl #championsleague #premierleague #pl #epl #uefa #ronaldo
DANNY INGS Stoke City, West ham na West Brom wapo katika vita vikali kumsajili mshambuliaji wa Liverpool kwa mkopo ifikapo dirisha dogo la usajili iyo Januari #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #lfc #championsleague #cl #ucl #uefa #premierleague #pl #epp
DIVOCK ORIGI Je muda wa kusema Origi kwa heri?? Liverpool wapo katika mazungumzo na klabu ya Wolfsburg kwa ajili ya kumuuza mshambuliaji wake Divock Origi moja kwa moja katika klabu iyo Origi ambaye yupo katika klabu iyo kwa mkopo wa msimu mzima anatarajiwa kusajiliwa ndani ya klabu iyo endapo mazungumzo yataenda vizuri baina ya klabu iyo na Liverpool #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #ynwa #pl #epl #premierleague #championsleague #uefa #cl #ucl #uefa
MANUEL AKANJI Inasemekana ya kuwa. Liverpool wamekubaliana na klabu ya FC Basel kwa ajili ya usajili wa beki wake wa kati 22 Manuel Akanji #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #cl #ucl #uefa #pl #epl #premierleague #championsleague
JORDAN HENDERSON Nje ya uwanja hadi mwezi Februari sababu ya majeraha ya nyama za paja #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #pl #epl #ucl #uefa #championsleague #premierleague
Virgil Van Djik Inasemekana ya kuwa Liverpool wamekubali kulipa ada ya Β£75m kwa klabu ya Southampton ili kupata huduma ya beki wake wa kati na timu ya taifa ya Uholanzi VVD na kumfanya kuwa beki ghali zaidi duniani VVD atakuwa anapokea mshahara wa Β£180000 kwa juma na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi ndani ya klabu ya Liverpool Huhuhu mambo ni mambo kitu ni bomba VVD ndani ya nyumba Beki huyo anatarajiwa kutambulishwa rasmi mapema leo baada ya kufanyiwa vipimo vya afya na kujiunga na kikosi cha Liverpool Januari 2018 baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa Nini maoni yako juu ya ili?? #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #cl #ucl #uefa #pl #epl #championsleague #premierleague
Full Time Liverpool 5 Swansea 0 Coutinho Firmino Γ—2 TAA Chamberlain #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #cl #ucl #uefa #championsleague #premierleague
ANFIELD NA UBORA WAKE Liverpool ndiyo klabu pekee iliyoruhusu mabao machache katika uwanja wake wa nyumbani Liverpool imeruhusu mabao 3(2 yakiwa ni penati) katika uwanja wa ANFIELD msimu huu wa 2017/18 Je ANFIELD imekua mahala pagumu kwa vilabu vingine kupata matokeo? Liverpool leo itawakaribisha Swansea City katika mtanange wa kwanza wa mzunguko wa pili ligi kuu ya Uingereza #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #cl #pl #epl #ucl #uefa #championsleague #premierleague
VAN DJIK Inasemekana ya kuwa Liverpool ndiyo klabu pekee iliyopeleka ofa kubwa ya uhamisho mezani kwa ajili ya kupata huduma ya beki huyo anayekipiga Southampton Lakini klabu iyo inasubiria ofa zingine kutoka kwa klabu za Manchester City na Chelsea kama zitaweza ipiku Liverpool katika dili ilo ilhali mchezaji huyo angependa kukipiga chini ya kocha wa Liverpool Jurgen Klopp #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #pl #epl #cl #ucl #premierleague #championsleague
Happy day Marry Christmas to all reds #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #pl #epl #cl #ucl
Kikosi cha leo dhidi ya Arsenal Nini maoni yako juu ya kikosi ichi? #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #lfc #pl #epl #uefa #ucl #cl #championsleague
One of the Most hot and beautful bby in town 😍😍 Nani mwingine zaidi ya @missez_emrecan23 Before tonight game vs Arsenal we just put ourselves in Liverpoolian shape πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ This is how Liverpoolian will take over the city this night Tukutane iyo baadae katika usiku wa ligi kuu ya Uingereza #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #championsleague #cl #ucl #uefa #pl #epl
Issa lifestyle πŸ˜„πŸ”΄βš½οΈ ....good luck liverpool.. what a better word : YOU'LL NEVER WALK ALONE πŸ’ͺ . #liverbirduponmychest #herewegoagain #liverpool #LFCFamily #lfctz #lfctanzania #matchday #arsenal vs #liverpool
MECHI LEO Arsenal vs Liverpool Muda-10:45 pm. Uwanja -EMIRATES Je Liverpool kuendeleza ubabe dhidi ya Arsenal hii leo?? #Liverpoolhabari #ynwa #lfctanzania #lfc #pl #epl #championsleague #ucl #uefa #lfctanzania
Muonekano mpya wa mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah #Liverpoolhabari #cl #pl #epl #ynwa #uefa #ucl #cl #championsleague #lfctanzania
THOMAS LEMAR Liverpool wapo tayari kutoa kitita cha ada ya Β£90m kupata huduma ya kiungo machachari wa As Monaco na timu ya taifa ya Ufaransa Thomas Lemar Liverpool watajitosa katika dirisha dogo la usajili iyo Januari kwa ajili ya kupata sahihi ya kiungo huyo lakini watapata ushindani kutoka klabu kadhaa zikiwemo Arsenal na Chelsea #Liverpoolhabari #ynwa #lfc #lfctanzania #ynwa
And we go like .. #wakawaka #wakawakawaka 🀣πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ @mosalah22 the first liverpool player to score 20 goals before Christmas since Ian Rush 1986--87 #ilovehistory 😊 ....and we go like waka waka waka . .#liverpoolfc #lfctz #lfctanzania #LFCFamily #YNWA
Issa match day 😊...... one love, one team , one club .....OUR LIVERPOOL FC πŸ”΄ . .#liverbirduponmychest #liverpoolfc #lfctz #lfcfamily #lfctanzania #YNWA πŸ‘ŠπŸ’ͺ
Here we go again @liverpoolfc πŸ”΄πŸ’ͺπŸ‘Š ..let's have itttttt πŸ€— . .#matchday #liverpoolfc #lfc #lfctanzania #lfctz #YNWA
@chebe_klop_kid thanks much for you support πŸ™πŸ”΄ kwa jezi original kabisa call me now 0715806898...#YNWA . . #liverpoolfc #lfctanzania #lfctz #LFCFamily #YNWA
With love ❀and smile πŸ€— good morning my fam #lfcfamily πŸ”΄πŸ”΄ . #liverbirduponmychest #liverpoolfc #lfctz #lfctanzania #anfield #anfieldroad #YNWA
king of Egypt Mohammed Salah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mchezaji bora wa mwezi Novemba Liverpool #liverpool #lfctanzania #ynwa #lfctanzania #premierleague #pl #epl
THOMAS LEMAR Katika dirisha dogo la usajili iyo Januari Liverpool watajaribu tena kumsajili kiungo wa klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Ufaransa Thomas Lemar Inatajwa kuwa Thomas Lemar ndiyo chaguo la Klopp kama mbadala wa Philliphe Coutinho endapo Liverpool itafanikiwa kumuuza Mbrazili huyo anayewaniwa vikali na klabu ya nchini Uhispania FC Barcelona Lakini Liverpool itakuwa katika mpambano mkali wa kuhakikisha inapata sahihi ya kiungo huyo kutokana na upinzani mkali kutoka katika klabu kadhaa nchini Uingereza zikiwemo Arsenal na Chelsea #liverpool #ynwa #lfctanzania #uefachampionsleague #ucl #cl #pl #premierleague
Ni Liverpool dhidi ya FC Porto hatua ya 16 bora kombe la mabingwa barani Ulaya #liverpool #ynwa #lfc #lfctanzania #uefachampionsleague #pl #epl #premierleague #uefa #cl #ucl
next page →