#braveinfo

494 posts

Loading...
KANYE WEST NA DRAKE WAZIDI KUJICHIMBIA KWAAJILI YA MAANDALIZI YA ALBUM . Baada ya uvumi kuwa Draka yupo huko Wycoming ili kufanya kazi na kanye west kwa album yake inayokuja Ijumaa, Ripoti zinasema wawili hao wamethibitisha kufanya wimbo pamoja . Kwa Mujibu wa TMZ wawili hao wapo katika hotel ya Amangani ,Drake ameripotiwa kuwaleta sound engineer na mpiga picha na vifaa vya muziki ili kuwa tayari kufungwa hotelini apo . Ata hivyo msanii Lil Uzi Vert Nate anaripotiwa kuwepo Wyoming kwa kazi zake,ikiwa ni Mara ya kvwVManza kuwepo kwa kazi sehemu hiyo ,rumors zinasema producers ambao wanafanya kazi na kanye west pamoja na drake ni pamoja na NAS,Mike Dean,Travis Scott ,Kid Cudi,The Dream ,Pierre Boume ,Jeff Bhasker and wheezy ambao wanahusishwa kuwepo hotelini apo . #braveinfo #bravetvonline .
Loading...
While he was in Europe for his 45 tour Rapper the Game called Rapper 6ix9ine as Fake Blood . Wakati Rapper The Game akiwa Europe kwenye tour yake ya 45 amemuita rqpper mwenzake 6ix9ine kuwa ni Fake na kufanya mashabiki waliokuwa katika show hiyo kushangailia . #braveinfo #bravetvonline
Mtoto wa tatu wa wizkid Zion akiwa na baby mama yake Jada . #braveinfo #bravetvonline
Taylor swift sasa anakuwa msanii wa pili dunian kuwa certified sana na kampuni ya RIAA kwa ngoma zake katika historia . #bravetvonline #braveinfo
Link kwenye bio . #braveinfo #bravetvonline
Baada ya #Rihanna kuwambia followers wake kufuta application y Snapchat Kampuni hiyo imeshre taarifa ya kushuka kwa mauzo ya asilimia 3.64% ndani ya Masaa na kuifanya kuingia hasara ya Billion 1 . #braveinfo #bravetvonline
Trending . Kwa muda mrefu Snoop Dogg alitusanua kuja na album ya Gospel hatimaye album hiyo imetoka rasmi Leo . Album hiyo ina nyimbo 32,amewashirikisha wasanii wengi ni wapya akiwemo Daz Dillinger,October London ,Chris Bolton ,Uncle Chucc,The Zion messenger ,John P na wengine wengi . Maneno ya snoop dog ambayo ameyasema kuhusu album hiyo ni . "It's always been on my heart. I just never got around to it because I always be doing 'gangsta' business or doing this or doing that,” Snoop said about doing the gospel album. “I just felt like it's been on my heart too long. I need to do it now." #braveinfo #bravetvonline
Kivuruge ya nandy yamgusa youngkiller asema kwa sababu ya ....... Gusa kwenye bio kusikiliza . #braveinfo #bravetvonline
Trending . Mwanmuziki wizkid ametumia account yake ya twitter na ametweet na kumhusisha mwanamuziki mwenzake kutoka Nigeria Mwanadada Simi , Sio Mara ya kwanza wizkid kutweet na kumhusisha Simi ,je ni couple au kuna collaboration ya ngoma inakuja . Wizkid ametweet #wizkid ' I Fuxx with Simi Heavy' . #braveinfo #bravetvonline
Trending . Msanii wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kusema nafsi yake inaogopa sana kutarakiwa na mume wake Chid Mapenzi ambaye ni mfanyabishara mkubwa wa nguo Jijini Dar es Salaam kwa madai umri wake umekwenda hivyo hana pakwenda pengine zaidi ya kwake. Shamsa ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake maalumu wa kijamii akiwa ameambatanisha na picha yenye ua jeusi ambalo katika siku za hivi karibuni limekuwa likitumiwa na wanawake au wasichana wengi waliokuwa wameachwa na wapenzi zao au wanandoa wenzao. "Mwenyezi Mungu niepushie hili ua na huu uzee nitaenda wapi. linatisha khaaaa", amesema Shamsa. Kwa upande mwingine, wapenzi na mashabiki wa msanii huyo wamemuunga mkono kwa kusema ua hilo halipendezi hata kwa kulitama kwa macho kwa kuwa lina ishara mbaya katika mahusiano ya watu walipendana. #braveinfo #bravetvonline
Trending . Mwanamuziki @diamondplatnumz asema, licha ya kuwa baadhi ya mashabiki wa Bongo huonyesha kutozipenda nyimbo alizofanya na wanamuziki wa kimataifa, hizo ndio humpa nafasi ya kutumbuiza nje ya nchi na kuongeza mashabiki. Aeleza, nyimbo zinazopendwa Bongo, nyingi hazijulikani nje . #bravetvonline #braveinfo #swahilitimes
Gusa link kwenye bio . #bravetvonline #braveinfo
Exclusive story . Mr blue Amefunguka kupitia kipindi cha Family love Cha clouds TV Kikiongozwa na Msanii wa Filamu Gabo Zigamba ,Blue Ambaye alianza muziki mwaka 2000 na album yake ya kwanza aliyoipa jina la 'Blue ' amesema Jina la Sameer lilitokana na Marehemu Mama yake mzazi kukosea kulitamka Jina la baba yake mzazi wakati akiwa anasoma . Mr Blue ameuzungumzia wimbo wake wa Blue ambao ndio uliomtambulisha kwenye game kuwa ulitokana na Freestyle battle kipindi cha nyuma mtaa ambao alikuwa anakaa Kariakoo ,kabla ya hapo blue ilimbidi apitie maisha kuomba pesa mtaani ili aweze kwenda studio G records kurekodi wimbo . Blue ambaye mwaka 2010 mwishon kuingia 2011 alikuwa anatamba na ngoma yake ya #tilalila ambao ulimuwezesha kumapizia nyumba yake ambayo alimjengea marehemu mama yake kabla ya kufariki ambaye alimsihi kuacha pombe ,mpaka Leo Mr Blue ndiye anayeishi kwenye Nyumba hiyo mpka sasa . #braveinfo #bravetvonline @mrbluebyser1988
Producer Swizz beat ameacha rasmi kuosupport kampuni ya nguo ya H&M kuoitia instagram account yake amepost picha hii nakuonyesha ndo mwisho . Kampuni hii ilingia matatani baada ya kufanya ubaguzi wa rangi kwa mtoto ambaye walimtumia kupromote bidhaa yao mpya . Mastaa na wasanii akiwemo The Weekend ambaye alikuwa akifanya kazi na kampuni hiyo walisitisha kufanya kazi na kampuni hiyo mwka Jana. #braveinfo #bravetvonline .
Jhen Aiko Aandika hayo kuhusu gossipers , and blogs zinazosambaza umbea kuhusu yeye kuachana na Mpenzi wake #Bigsean . #braveinfo #bravetvonline
Mtangazaji @thebestfetty ambaye alikuwa akifanya kazi clouds FM kabal ya kuacha ametukalisha kitako kusubiri wapi atarudi kuanza kutangaza tena . #braveinfo #bravetvonline .
TRENDING . Mtandao wa Apple Music umefikia watu million 38 waliosubscribe kwenye mtandao huo wa kuuza nyimbo duniani , Apple unakuwa mtandao was pili nyuma ya mtandao was Spotify wenye watu zaidi ya million 70 waliosubscribe na active users zaidi ya million 159 , Mtandao wa Spotify wenyewe unapatikana kwenye android and IOS kwa upande wa Apple wenye ni kwa watumiaji wa vifaa vya iOS pekee . Raisi wa Apple Music amesema nia yao ni kuendelea kukuza mtandao na ndani ya wiki 5 umeweza kupata subscribers Million 2 kuufanya kufikia million 38 . Ata hivyo Mwanamuziki Rihanna anatajwa kuwa anaongoza kwa Nyimbo zake kupakuliwa na kusikilizwa kwenye mtandao huo wa Apple akiwa na Streams Zaidi ya Billion 2 na kuweka record kwenye career yake ya muziki . #braveinfo #bravetvonline
BEST COLLABO . #Huyosiodemu ilitoka Mwaka 2010 Hii ilikuwa moja ya ngoma iliyomfanya abdukiba kusumbua kwenye air waves za media mbali mbali Wimbo huu ulifanikiwa kuingia kwenye Tuzo za Kilimanjaro Music Awards kama Wimbo bora wa mwaka lakini haukufanikiwa kushinda , Abdukiba aliwashirikisha Nay wa Mitego pamoja na Neyba ,ngoma iliguswa na producer mazuu . Credit by @bravetvonline
Tanzania yapepea huko Ghana baada ya Mastaa,na makampuni mbali mbali kuchaguliwa kuwania tuzo za the African Prestigious Awards (Apaawards) kutoka nchini Ghana tuzo hizi zitafanyika mwezi April , Baadhi ya mastaa waliochaguliwa no pamoja na Monalisa,Millardayo ,Dj Sinyorita ,John Bocco , Vanessa Mdee ,nk .makampuni ni pamoja na CRDB Bank,M2 Advertising, Airtel ,Clouds Fm ,ITV nk . #bravetvonline #braveinfo
TRENDING . Wastara amesema hayo kupitia kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa na EATV kupitia ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano saa nane mchana mpaka saa kumi jioni na kusema kuwa Mange Kimambi alizusha juu ya Cannula aliyowekwa mkononi na kusema alijiwekea mwenyewe, Wastara amesema kuwa mbali na kuzusha huko lakini dada huyo alikwenda mbali mpaka kuwauliza madaktari wa hospitali aliyokuwepo kama anatibiwa hapo . . Mange Kimambi, aliwahoji madaktari India, mimi nikashangaa wale madaktari wanakuja wananiuliza kwani wewe ni nani Tanzania nikawaambia kuwa mimi ni msanii tu wa kawaida kule, wakaniuliza unamfahamu huyu mtu anajiita Mange Kimambi kwenye Instgram anasema ni dada yako, pia mwandishi wa habari anakuulizia mimi nikawaambia sina dada ana cheti cha Milembe" alisema Wastara . Mbali na hilo Wastara amesema kuwa kama Mange Kimambi angekuwa na akili timamu basi alipaswa kuangalia vizuri ile Cannula ambayo alikuwa amewekewa kwani ilikuwa imewekwa vizuri tu na wala si huo uzushi ambao yeye alikuwa anazusha . #bravetvonline #braveinfo
TRENDING . Akiongea kupitia eNEWZ  Moni amesema kwamba  anamshangaa sana Nikki amekuwa ni mtu wa kulalamika na lawama huku akiongeza kuwa siku hizi hata kazi za Nikki  hazioni zaidi anasikika akiwa analalamika tu. Moni amesema yeye na kundi lake hawafanyi Rap ya kilingeni bali anafanya Rap ya biashara hivyo hayo maneno ya Nikki wala hayamsumbui kwasababu tayari wamefanya kazi nyingi na wanashukuru Watanzania wamewapokea. Kwa upande mwingine Moni ambaye anatamba na ngoma yake mpya ya Nichum amesema kinachomsumbua Nikki ni uzoefu wake wa kuvunjikiwa na kundi kutokana na uzembe wake huku akimshauri kuwa afanye kazi kwa bidii kwa kuwa anamizizi mizuri na nimuandishi mzuri hivyo asimamie sanaa yake kwanza. #braveinfo #bravetvonline .
Kupitia account ya Instagram ya @patorankingfire ametambulisha rasmi record label yake ambayo ameipa jina la @amarimusiq , ndani ya label hiyo pia kuna msanii kutoka Tanzania @walidiy . #braveinfo #bravetvonline
Press conference with the special Guest . #aboyfromtandale album launch now in Kenya . @diamondplatnumz @1omarion . #braveinfo #bravetvonline .
TRENDING . #bowwow , baada ya kusukumwa na kuanguka chini ,kwa sababu ya kumzungumzia msanii #future vibaya, apa ni jinsi alivyojibu tuhuma hizo kupitia live insta kwenye account yake , na kusema hakwenda chini kama watu walivyoona kwenye video . #cheki previous post . #braveinfo #bravetvonline
TRENDING . #bowwow asukumwa na rapa @casanova_2x baada ya kuzungumza shit kuhusu #future . #pressplay the video . #braveinfo #bravetvonline
Trending story . Wakati watu wakitazamia drama ya penzi la Bigsean na Jhene aiko ,sasa kuna couple nyingine ya Savage na Amberose inadaiwa limevunjika . Rapper 21 Savage mwenye umri wa miaka 25 na mpenzi wake Ambrose mwenye miaka 34 kila mmoja amemunfollow mwenzake kwenye mtandao was Instagram na kila mmoja kufuta kula kith kuhusiana na mwenzake kwenye account yake . 21 savage alionekana akiimba wimbo was drake Gods Plan je amemuimbia Mpenzi wake Amberose au !? . #braveinfo #bravetvonline
Diamond - media zinazoibania WCB zinafeli kwasababu Mimi ni Maji usipoyanywa lazima utayaoga . #bravetvonline #braveinfo
Huenda tukashudia @rayvanny akiuaaga ukapera na kuingia kwenye maisha ya ndoa na mpenzi wake @fahyvanny ,hii ni post yenye caption inaoashiria kuwa soon Tutshuhudia ndoa ya msanii huyo . #braveinfo #bravetvonline
Trending story . Kupitia mtandao wa twitter mashabiki wamereact kutokana na Big Sean kusemekana amemcheat mpenzi wake Jhene Aiko kwa #NicoleScherzinger . Story zinasema Sean na Nicole walikuwa close sana baada ya usiku was tuzo za Oscar ,wote waliudhuria na kukaa VIP kwenye meza Moja ,Chanzo kimeeleza, Camera hazikurusiwa kwenye party hiyo ,chanzo hicho cha habari kilisema huenda Sean na Nicole hawakudhani kama wataonekana . Walionekana wakiwa na furaha wakionekana kama ni couple ,badae Taarifa zinasema Jhene Aiko alizipata Taarifa hizo na hakufurahishwa na hilo . TheJasmineBrand.com imeripoti . _ Jhene Aiko alimunfollow Big Sean kwenye mtandao wa Instagram na hajampost Sean kwa muda sasa,Tangu habari hii imefichulika mashabiki kupitia mtandao wa twitter kila mtu anareact kwa upande wake . " #braveinfo #bravetvonline
@iamkissdaniel anunua mjengo mwingine huko Nigeria . #braveinfo #bravetvonline
Kuna nyimbo nimeshindwa kuziweka kwenye album ,Salome na I miss you hazitakuwemo na kuna nyingine 10,ambazo hazijawahi kusikika na hii ni kwa sababu album haiwezi kuwa na nyimbo zaidi ya 20,- DIAMOND . #braveinfo #bravetvonline @diamondplatnumz
Diamond amesema kesho kwenye uzinduzi wa album yake ya A boy From Tandale amemualika star wa muziki kutoka Marekani @1omarion ambaye amemshirikisha kwenye album hiyo yenye nyimbo 20 . #braveinfo #bravetvonline
Rick Ross is out there feeling good rut now . #braveinfo #bravetvonline
Happy birthday to @mwanfa . #braveinfo #bravetvonline
Happy birthday to the man behind @bravetvonline #yusuphdebrave enjoy your day . #bravetvonline #braveinfo
Its official Kaa standby kwa sababu #Jayz na #beyonce wanakuja na OTR II tour . #braveinfo #bravetvonline
Hii ndio picha ya Mwanamuziki @chidinmaekile akiwa amepozi kwenye kitanda chumbani mwa msanii @iamkissdaniel ambayo aliipost kwenye Instagram account yake . #braveinfo #bravetvonline
TRENDING STORY . Mtoto pekee kutoka kwa mwanamuziki wa Muziki wa dance @official__papiikocha ambaye alimpata na mpenzi wake ambaye kwa sasa ameolewa na mwanaume mwingine baada ya kuona pipii kafungwa kifungo cha maisha na hakuna uwezekano wa kutoka. Fahamu kwamba alihukumiwa kwenda jela na kumuacha mtoto wake huyu akiwa na umri wa miaka 4,na sasa ana umri wa miaka 18 . #bravetvonline #braveinfo
TRENDING STORY . Wanamuziki Wawili kutoka Nigeria Kissdaniel mwenye umri wa Miaka 23 na Chidnma miaka 26 wanahusishwa kuwa wapenzi ,na penzi lao limeanza mwaka huu ,hii inakuja baada ya kiss Daniel kupost video ya chidnma kwenye Instagram account yake chidnma akiwa ametulia kwenye kitanda chake . Baadhi ya Mashabiki wamefurahi sana kuona wawili hao wakiwa katika mahusiano huku wengi wakisema wanaendana sababu wote ni wasanii wazuri ,na wanapendeza wakiwa pamoja . Vilevile Kiss Daniel ameshinda kesi yake na label iliyokuwa ikimsimamia G-Worlwide ,iliyomshtaki msanii huyo kukiuka mkataba na kumtaka asitumie jina la kiss Daniel . Kwahyo kiss Daniel kwa sasa hana stress na penzi lake na Mwanadada chidnma litakuwa moto . #braveinfo #bravetvonline
Kama ulikuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa Rapa #21savage kufanya aina ya Muziki wa R&B basi shaka ondoa ,msikilize akiwa na mood ya kuimba . #braveinfo #bravetvonline
@harmonize_tz akiwa location ya video shoot ya Wimbo na @eddykenzo kutoka Uganda . #braveinfo #bravetvonline
Rapa Cardi B ametangaza tarehe ya kutoka kwa album yake mpya, itakuwa April mwaka huu Kabla ya kutoka kwa album ya Nicki Minaj Cardi B amesema album yake mpya inatoka April mwaka huu wakati anapokea tuzo ya Best New Artist katika tuzo za iHeartRadio Music Awards mjini Los Angeles. Cardi B alisema “My album will be coming in April, okurr!, Yes, sir, April. Stay tuned, motherfu**ers.” #bravetvonline #braveinfo
CELEBRITIES . Et wewe unaonaje wanafanana kweli ?? . Credit @officialwandex . #braveinfo #bravetvonline @officiall_nai @_iharley_
Miguu ya mtoto wa @chegechigunda @jadah_chege ambaye amempata na mpenzi wake @za_shine . #braveinfo #bravetvonline .
Kupitia account ya Instagram ya mwanamuziki @chegechigunda amepost picha akiwa na mpenzi wake akiwa na ujauzito , Na ametag jina @jadah_chege kuashiria amepata mtoto na mpenzi wake huyo ambaye anafahamika kwa jina la @za_shine . #bravetvonline #braveinfo
Ikiwa ni siku ya mama duniani kwa upande wa Uingereza EB tujikumbushe na performance ya wizkid akiwa na mama yake jukwaani ,way back . Uingereza siku ya mama Duniani kwao sio dili sana siku hii ilikuwa ni ya wakristo barani humo kuwatembelea wazazi kanisani ,obviously siku hii udondokea siku ya jumapili . Kwa upande wa Marekani na Nchi zingine duniani siku hii hushelekewa Mwezi May 13 ambayo pia itakuwa ni Jumapili . #braveinfo #bravetvonline @wizkidayo @wizkidblog
Mrembo, kutoka Mdee Music @mimi_mvrs11 kwa sauti ya Dada yake ambaye ni @vanessamdee "She look just like mom" . #braveinfo #bravetvonline
Pink hair style from Kanye West . #kanyewest #braveinfo #bravetvonline
Mashabiki wamsakama Fetty Wap kwenye mtandao baada ya kupost picha yake huku akiwa na Unga kwenye sehemu ya pua yake ,ikiashiria mkali huyo anaendelea kutumia madawa ya kulevya . #braveinfo #bravetvonline #fettywap
BEST COLLABO . #Huyosiodemu ilitoka Mwaka 2010 Hii ilikuwa moja ya ngoma iliyomfanya abdukiba kusumbua kwenye air waves za media mbali mbali Wimbo huu ulifanikiwa kuingia kwenye Tuzo za Kilimanjaro Music Awards kama Wimbo bora wa mwaka lakini haukufanikiwa kushinda , Abdukiba aliwashirikisha Nay wa Mitego pamoja na Neyba ,ngoma iliguswa na producer mazuu . #bravetvonline #braveinfo @officialabdukibaa
Makala kutoka kwenye mtandao wa billboard . #braveinfo #bravetvonline @diamondplatnumz #diamondplatnumz
Baada ya kupeana taraka na mpenzi wake kufikia had I kuuza Mali walizopata wakiwa pamoja Usher aonekana akiwa na hip hop star #amaralanegra , Do you think this is a new couple in town ? . #braveinfo #bravetvonline #usher
Drake working on his new album , #braveinfo #bravetvonline
Fundi @Rayvanny anakuandaa na hili dude EB sikia melody hizo ni hatari .. #braveinfo #bravetvonline #diamondplatnumz
Hii ndo list ya ngoma zilizowahi kufika watazamaji Billion 1 kwenye mtandao wa YouTube . #bravetvonline #braveinfo
next page →